Breaking News

Your Ad Spot

Feb 3, 2010

HAFLA YA KAMPUNI KUPATA KIBALI CHA KUCHEZESHA BAHATI NASIBU YA BINGO

MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimba (kushoto) akimkabidhi cheti cha kuendesha bahati nasibu ya 'Premier Bingo' Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Enternaiment Africa, Arnaud Foubert leo mjini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mkuu wa kampuni hiyo Dhiresh Kaba. Bahati Nasibu hiyo itaanza kuchezeshwa juma la kwanza la mwezi ujao.
WAALIKWA wakiwa kwenye foleni ya msosi wakati wa sherehe hiyo.
BAADHI ya waalikwa wakipata msosi kwa mhudumu maalum
   
MMOJA wa waandishi waliohudhuria hafla hiyo alikurahia jambo.  

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages