Breaking News

Your Ad Spot

Feb 4, 2010

JK AANZA LEO ZIARA YA KUKAGUA UHAI WA CHAMA DAR



MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita alipowasili leo ofisi ya CCM mkoa huo, kuanza ziara ya siku tatu kukagua uhai wa chama mkoani humo.

WANACHAMA wa CCM wakiserebuka kwenye viwanja vya ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete
BENDI ya Vijana Jazz wakitumbuiza wakati wa mapokezi ya JK
KIKUNDU cha wenye ulemavu wakionyesha umahiri wao wakati wa mapokezi ya JK ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam.MNSANII mwenye ulemavu akifanya manjonjo yake wakati wa mapokezi hayo kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Dar es salaam. leo COVOY la waafanyakazi wa UHURU FM, wakiwa tayari kumpokea,Mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Kikwete kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Dar es salaam, leo.
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada wa CCM, Shy-rose Bhanji, alipowasili kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Dar es salaam, leo kuanza ziara ya siku tatu kukagua uhai wa Chama mkoani humo.MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa UHURU FM, Mikidadi Mahamoud alipowasili ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam,leo kuanza ziara ya siku tatu kukagaua uhai wa Chama mkoani humo. MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC wa CCM Asha Baraka alipowasili ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam,leo kuanza ziara ya siku tatu kukagaua uhai wa Chama mkoani humo MWENYEKITI wa CCM Rais jakaya Kikwete akiwaaga wana-CCM ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam l;eo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages