Breaking News

Your Ad Spot

Feb 3, 2010

KUTANA NA ZUHURA ZIDADU 'ZIZU' WA UHURU FM

ZUHURA Zidadu  aka 'ZIZU' ni mmoja wa watangazaji adimu na muhimu wa UHURU FM,
Hupaa katika anga katika vipindi mbalimbali  Kama 'Hello Tanzania, lakini ambacho kimempaisha sana kwa wasikilizaji wa kituo hicho cha redio kilichopo mtaa wa Ukami, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ni kipindi cha mipasho cha 'MAMBO YA PWANI' ambacho huridima kila Ijumaa inapogonga saa 6.00 mchanaaaaaa!
Birth day yake ni March 24 mwaka wowote.

1 comment:

  1. [url=http://www.001casino.com]online pokies[/url]
    unconditioned casino tip [url=http://www.realcazinoz.com]casino[/url] games [url=http://cd-online-casino.co.uk]online casinos[/url] [url=http://www.the-gambling-city.net]casino[/url]

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages