Breaking News

Your Ad Spot

Feb 4, 2010

SHABIKI ADAIWA KUMDUNDA MKEWE BAADA YA KUMKUTA KWENYE MECHI YA YANGA NA JKT RUVU, DAR

ASKARI wakimdhibiti mtu aliyedaiwa kugombana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mkewe, baada ya kumkuta mwanamke huyo akishuhudia  Mechi ya Yanga na JKT Ruvu  yaLigi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages