Breaking News

Your Ad Spot

Mar 8, 2010

SHEREHE ZA MIAKA 15 YA WA-BEJING

WAFANYAKAZI wanawake wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani hawakubaki nyuma, wakiingia kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam, leo wakati wa maandamano maalum ya maadhimisho hayo.WANAFANYAKAZI wanawake wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani hawakubaki nyuma, wakiingia kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam, leo wakati wa maandamano maalum ya maadhimisho hayo.
WANAFANYAKAZI wanawake wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Uhuru Mzalendo na Burudani hawakubaki nyuma, wakiingia kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam, leo wakati wa maandamano maalum ya maadhimisho hayo.

Kina mama kutoka ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam am,baye alikuwa m,geni rasmi katikamaadhiomisho hayo, wakiingia kwa maandamano kwenye viwanja vya Mnazi mmoja.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages