Breaking News

Your Ad Spot

Mar 6, 2010

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali ambaye aliwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, jana kuanza ziara ya siku tatu nchini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali ambaye wakifurahia jambo walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam March  jana kuanza ziara ya siku tatu nchini.
 
Waziri Mkuu, Mizingo Pinda na Waziri Mkuu wa Msumbiji Aires Bonifacio Baptista Ali (kushoto) wakiwa katika mazungumzo ya Kiserikali, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam March  leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Msukbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mazungumzo ya kiserikali (Official Talks) kati yao yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 6, 2010. Waziri Mkuuwa Msumbiji yuko nchini kwa ziara ya sikutatu iliyoanza Mchi 5, 2010. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages