GARI LENYE MWANI YAZAMA BAHARINI PEMBA Bashir Nkoromo 9/30/2011 8 Gari aina ya Cater lililokuwa na marobota ya mwani likiwa katika bahari baada ya kuzama hivi karibuni kisiwani Pemba. (picha na Nafisa Madai... Read more »
MKAPA ATINGA IGUNGA JIONI HII, KUFUNGA KAMPENI ZA CCM KESHO Bashir Nkoromo 9/30/2011 1 Mwenyekiti Mstaafu wa C... Read more »
HII STAILI YA TUME YA UCHAGUZI IGUNGA UNAIAFIKI? Bashir Nkoromo 9/30/2011 0 Mama akitafuta jina lake katika orodha ya wapiga kura katika 'daftari' lililoning'inizwa kwa kufungwa na kamba kwenye nondo y... Read more »
UCHAGUZI IGUNGA: VIJANA WAMCHANGAMKIA DK.KAFUMU, KINA MAMA NDIO USISEME Bashir Nkoromo 9/30/2011 0 "KULA TANO" mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk. Dalaly Kafumu (kulia) akisema hivyo wakati akisalimiana na vijan... Read more »
NAPE KATIKA KAMPENI ZA UDIWANI RORYA NA TARIME Bashir Nkoromo 9/29/2011 3 KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mabalozi wa nyumba kumi wa CCM wa tawi la Ki... Read more »
MWILI WA POLISI ALIYEUAWA KIKATILI MBEYA WAAGWA Bashir Nkoromo 9/28/2011 0 KAIMU Mkuu wa mkoa wa Mbeya , Evans Balama, akizungumza leo wakati wa kuuga mwili wa askari polisi G.2795 PC Meshack Urrasa, aliyeuawa kwa... Read more »
NAKAGAWA AMUAGA JK Bashir Nkoromo 9/28/2011 0 Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake, Mheshimiwa Hiroshi Nakagawa, ambaye alienda ikulu kuagana... Read more »
MAMBO YA TASWA USIPIME! Bashir Nkoromo 9/28/2011 0 KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) imeteua washiriki 40 kwa ajili ya mafunzo ya waandishi wa ha... Read more »
HELKOPTA YA KAMPENI ZA CCM YATUA IGUNGA, MAGUFULI, JANUARI WATIA TIMU Bashir Nkoromo 9/28/2011 0 Helkopta ikitua katika Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga leo Januari Makamba akilakiwa na Kiongozi wa kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC, U... Read more »
CUF WALIA KUFUATWA FUATWA NA CHADEMA KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI IGUNGA Bashir Nkoromo 9/27/2011 0 NA MWANDISHI WETU, IGUNGA Ntatiro na Magdalena Sakaya wakizungumza leo Igunga Chama Cha Wanachi (CUF) kimewakemea CHADEMA na kuwat... Read more »
JK AREJEA NCHINI KUTOKA US Bashir Nkoromo 9/27/2011 0 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi baada ya kuwasili kutoka New York Marekani am... Read more »
BAADHI YA MATUKIO MDAHALO WA WAGOMBEA UBUNGE IGUNGA Bashir Nkoromo 9/26/2011 0 Wagombea Ubunge jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu -CCM (kijanai), Joseph Kashindye -CHADEMA (kaki) na Leopold Mahona-CUF (Bluu) wakipongeza... Read more »
BEI ZA MFUTA KUANZIA KESHO HIZI HAPA Bashir Nkoromo 9/25/2011 0 Product Retail Price (TZS/L) Wholesale Prices (TZS/L) Using Old Formula Using New Formula Using Old Formula Using New Formula Petrol 2,2... Read more »
SAKATA LA DC IGUNGA: SASA BAKWATA WATAKA CHADEMA WANYIMWE KURA Bashir Nkoromo 9/23/2011 3 Read more »
NAPE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI MWANZA LEO Bashir Nkoromo 9/23/2011 0 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari, Ofisi ya CCM mkoa wa Mwa... Read more »
RAIS KIKWETE APATA TUZO MBILI Bashir Nkoromo 9/22/2011 0 Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana (21 Septemba, 2011) amepokea Tuzo Mbili Maalum kwa mchango wake mkubwa katika Afya ya Mama Mjamzito na Watot... Read more »
MAANDALIZI TAMASHA LA KWANZA LA BIA TANZANIA Bashir Nkoromo 9/22/2011 0 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bw. George Kavishe (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam j... Read more »
MUKAMA ATEMA CHECHE IGUNGA Bashir Nkoromo 9/22/2011 0 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na waandishi wa habari leo,katika Ofisi ya CCM wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kueleza tathmin... Read more »
CCM YAZIDI KUPENDWA IGUNGA, NYOMI YA WATU MKUTANO WA MWANZUGI KATA YA IGUNGA VIJIJINI YATIKISA Bashir Nkoromo 9/22/2011 0 Nyomi ya watu kwenye mkutano wa kampeni za CCM eneo la Mwanzugi, Kata ya Igunga Vijijini, jana. Mgombnea wa CCM, Dk. Dalaly Kafumu akihu... Read more »