.

KINANA AFUNIKA KITETO LEO, AKAGUA MIRADI MA YAMENDELEO YA ANANCHI, MAMIA WAFURIKA MKUTANO WAKE MJINI KIBAYA

May 31, 2014

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa michezo mjini Kibaya wilayani Kiteto mkoani akiwa katika ziara yakea ya kukagua uhai wa Chama na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua mkoani  Manyara leo, Mei 31, 2014.
 Katibu wa NEC, Ituikadi na Uenezi Nape Nnauye akiuunguruma kwenye mkutano huo uliofanyika Uwanja wa michezo mjini Kibaya wilayani Kiteto mkoani Manyara
 Mbungr wa Kiteto Benedict Ole Nangolo alivyosimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika jimbo hilo, baada ya kuitwa na Kinana kwenye mkutano huo
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo mjini Kibaya, Kiteto
Kinana (kushoto) akisamsalimia kwa kumgusa kichwani mmoja wa binti wa Kimasai, aliyeuangana na wananchi wa Kijiji cha Kimotoro, Simanjiro, aliposimama kwa muda akiwa anjiani kwenda wilayani Kiteto leo
 Kinana akiwasalimia wananchi kwenye mapokezi katika Kijiji cha Irkiushbor, Kiteto
 Kinana akimtwisha ndoo ya maji, Nangeriya Umbula, wakati akizindua mradi wa maji safi katika kijiji cha Eseki, Kiteto, leo Mei 31, 3014
 Nape akinywesha maji ng'ombe baada ya Kinana kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Eseki, Kiteto, leo Mei 31, 2014
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipanda mti kwenye shule ya msingi Laakir, iliyopo kata ya Nalangtomon, Kiteto leo Mei 31, 2014.
 Majengo ya Shule ya msingi Laakir, Nalangtomon, Kiteto, ambayo mwaka jana iliongoza katika matokeo ya mitihani darasa la saba mkoa wa Manyara.
Nangeriya Nangoro wa Kijiji cha Laalakir, Kiteto, akimnywesha maziwa mtoto wake kwa kutumia kibuyu maalum, wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika Kijiji hicho, alikokwenda kuzindua mradi wa maji, leo Mei 31, 2014. Pucha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

KICHUPA KIPYA : TIWA SAVAGE – WANTED [Official Video]

Tiwa SavageFirst Lady anayetokea katika Lebo ya Mavin mwenye makazi yake nchini Nigeria, Mwanadada ‘Tiwa Savage’ ameachia Video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Wanted’ uliotengenezwa katika mahadhi ya kimahaba chini ya muongozaji Moe Musa. “There’s nothing you can do, that’s why I stay wanted” proclaim she’s the best in the game and her sensual moves and avant-garde outfits convince us hiyo ni sehemu ndogo ya mashairi utakayopata kuyasikia ndani ya video hiyo.  Itupie Jicho hapo Chini..

MWANAMITINDO AFARIKI DUNIA KUZIKWA MEI 31


Rodney enzi za uhai wake.

MBUNIFU na mwanamitindo (model) Rodrick Charles maarufu kwa jina la ‘Rodney de lativo’ amefariki dunia jana (Mei 30) baada ya kuugua kwa muda alipokuwa amelazwa Hospitali ya Jeshi, Lugalo.
Akizungumza na  Mtandao huu mapema leo kwa njia ya simu,  Rafiki wa karibu wa familia ya marehemu, David Msangi  alisema marehemu alipatwa na umauti alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Lugalo, alipokuwa amelazwa na msiba huo hupo nyumbani kwa marehemu Tabata Bonyokwa, Dar.
“Tumempoteza mtu muhimu sana ambaye alikuwa na mawazo mengi ya kufikia mafanikio yake. Tutaendelea kumkumbuka.”  Alisema Msangi ambaye pia alikuwa mshahuri wa karibu wa marehemu", Msangi alisema.
Kwa mujibu wa familia ya marehemu, anatarajiwa kuzikwa  hiyo Jumamosi Mei 31huko huko kwenye makaburi ya Tabata Segerea.
Wakati wa uhai wake, marehemu alifanya kazi kwenye majukwaa mbalimbali na wabunifu na wanamitindo wakubwa wakiwemo wabunifu Ally Remtullah, Mustapha Hassanali, Asia Idarous. Wanamitindo Rio Poul, Martin Kadinda, Justine, Faustine Simon na wengine wengi.
Rodney mpaka anakutwa na umauti, alikuwa mshahuri na model  wa kampuni ya  Crisswelly African Fashion. Mareehemu alizaliwa Mei 26, 1994.  Elimu yake alisomea Magoze Sekondari  na kuhitimu 2011 na kuingia moja kwa moja kwenye  fani ya uwanamitindo na kuendelea hadi alipokutwa na umauti.
Aidha, kwa jamaa wa karibu na wabunifu na wanamitindo kwa watakaotaka maelezo ya kufika kwa marehemu wanaweza kuwasiliana na David Msangi kwa namba hii 0652901684


..Rest In Peace Rodney. I remember you forever.
Aidha kwa taarifa zaidi:
TAARIFA ZA FAMILIA NI KWAMBA MSIBA UPO BONYOKWA JIJINI DAR ES SALAAM. PANDA GARI YA TABATA SEGEREA SHUKA MWISHO WA GARI KISHA PANDA GARI ZA BONYOKWA SHUKA MWISHO NDIPO MSIBA ULIPO WA NDUGU YETU MPENDWA RODNEY TUTA MUHIFADHI KESHO SIKU YA JUMAMOSI SAA 9 ALASIRI  UKIWA NI MMOJA WAPO WA MDAU WA TANZANIA FASHION NA Crisswelly African International Fashion, MODEL AU DESIGNER NIVEMA KUJITIKEZA NA KUSHIRIKI KUMSINDIKIZA SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU RODNEY.  PIA WAWEZA KUTUMA MCHANGO WAKO KWA MAMA Asya Khamsin KWA TIGOPESA NO0713263363 
MUNGU AKUBARIKI TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU KWA MARAFIKI ZAKO UTABARIKIWA AMEN!!!!!!!!!!!!!!
KWA MAELEZO WASILIANA NA #CRISSWELLY NO 0714802527

MAMBO YA - RED CARPET -DIAMOND CONCERT HOUSTON TEXAS.....JUMAMOSI HII NEW NEW YORK NEW JERSEY!
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA CHI ZA NJE WA UTURUKI.


 Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014.  Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili .  Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei 30, 2014.

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR


Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.
Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani.
(PICHA NA GLOBAL WhatsApp +0753 715 779 : Hamida…
Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.
Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani.
(PICHA NA GLOBAL WhatsApp +0753 715 779 : Hamida Hassan/GPL)

PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT. BILA AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU NA NCHI MAJIRANI ZA UMOJA WA KUDHIBITI SILAHA NDOGO (RECSA).

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, akizungumza wakati wa mkutano huo kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Shelisheli, ElitreaAfrika ya Kusini, Jibuti na Afrika ya Kati.
  Baadhi ya wadau na washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano huo leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

GARI ALILOPATA NALO AJALI DIRECTOR GEORGE TYSON


Muonekano wa Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson.
Kwenye hii safari,…

MC ZIPOMPA NAYE ANUSURIKA AJALINI, ALIKUWA GARI MOJA NA TYSON!


MC maarufu Gladys Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani) amenusirika kifo baada ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson. Zipompa ameuambia mtadao huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha mbele na Tyson pamoja watu wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga mkanda, kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata majeraha kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa hospitali ya Mkoa ya Morogoro. 
PICHA: Makataba ya…
MC maarufu Gladys Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani) amenusirika kifo baada ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson. Zipompa ameuambia mtadao huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha mbele na Tyson pamoja watu wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga mkanda, kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata majeraha kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa hospitali ya Mkoa ya Morogoro. 
PICHA: Makataba ya GPL

SIMULIZI YA RECHO INAUMA

KINANA AFUNGA KAZI WILAYANI BABATI KWA MKUTANO MKUBWA WA HADAHARA WILAYANI HUMO

May 30, 2014

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati, leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati, leo
Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati kuhutubia mkutano wa hadhara leo

 Kinana akiwapungia mkono wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa, kuhutrubia mkutano wa hadhara . Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
 Bodaboda zikitoka Ofisi ya CCM wilaya ya Babati kuongoza msafara kwenda uwanjani. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

Picha na Taarifa:Jeshi la Magereza nchini kupitia Shirika lake la uzalishaji mali (Prisons Corporation Sole) limetiliana Mkataba wa uwekezaji na Mfuko wa Jamii wa GEPF ambapo majengo ya vitega uchumi yatajengwa katika maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro na Karanga Moshi Mkoani Kilimanjaro.


Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja (kushoto) na Bw. Daud Msangi   Mkurugenzi Mkuu wa GEPF (kulia) wakisaini Mkataba wa Uwekezaji baina ya Taasisi hizo mbili leo Alhamis 29 Mei, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza, Jijini Dar es salaam.
 Mkuu wa Shirika la Magereza ( Prisons Corporation Sole) Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) John Masunga (kushoto) pamoja na Mwanasheria wa GEPF Anna Shayo (kulia) wakisaini nyaraka muhimu za makubaliano ya uwezekaji kati ya Magereza na GEPF).
 Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja (kushoto) na Bw. Daud Msangi   Mkurugenzi Mkuu wa GEPF (kulia) wakikabidhiana nyaraka za makubaliano ya uwekezaji baada ya kutiwa sahini.leo Alhamis 29 Mei, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Magereza, Jijini Dar es salaam

KINANA ARINDIMA BABATI MJINI LEO, JIONI HII KUUNGURUMA UWANJA WA KWARAA KWENYE MJI HUO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya Maji mkazi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga, wilaya ya Babati mjini, Zena Rashid, bada ya kuzindua mradi wa maji wa kata hiyo leo akiwa katika katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya hiyo ya Babati mjini mkoani Manyara. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na anayeshangilia kushoto ni Mbunge wa Hanag, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezsshaji, Dk. Mary Nagu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya Maji mkazi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga, wilaya ya Babati mjini, Zena Rashid, bada ya kuzindua mradi wa maji wa kata hiyo leo akiwa katika katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya hiyo ya Babati mjini mkoani Manyara. Kushoto ni Mbunge wa Hanag, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezsshaji, Dk. Mary Nagu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana (kushoto), akisalimia watumishi wa hospitali ya wilaya ya Babati, alipofika kwenye hospitali hiyo leo, akiwa katika ziara hiyo ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipata maelezo kuhusu huduma za maabara katika hospitali hiyo ya wilaya ya Babati.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akishiriki ujenzi wa zahanati ya Malangi kata ya Maisaka, Babati Mjini leo
 6. Nape akipanda mti Zahanati ya Malagi
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bweni alipotembelea shule ya sekondari ya Frederick Sumaye, Kata ya Singe, Babati mjini leo
 Kinana akikagua ujenzi wa ujenzi wa ukumbi kwenye shule hiyo leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa ngoma kuanza ziara ya siku moja katika wilaya ya Babati mjini leo. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
ª