Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa
Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa
Chama hicho Bw. Innocent Mungy
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati wa Semina ya Mafunzo
iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini
Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa
Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Sylvia Lupembe akitoa neno la shukrani kwa Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga, wakati
wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
(TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam.
-Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwasilisha mada kuhusu huduma kwa mteja kwa
Maafisa Habari na Mawasiliano wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na
Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifurahia jambo na Baadhi ya Viongozi wa Chama
cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama
hicho Bw. Innocent Mungy, Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Sylvia Lupembe na
Katibu Mwenezi wa Chama hicho Bw. Abel Ngapemba.




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269