Breaking News

Your Ad Spot

Jun 6, 2014

warembo wanaowania taji la Miss Arusha 2014 watembela hospital ya maria stopes jijini humo

Baadhi ya Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha,wakimsikiliza kwa makini Dr,Sober Mzighani wa Hospitali ya Maria Stopes ya jijini humo wakati wakipatia mafunzo mbali mbali yahusuyo maswala ya afya ya Binadamu.Hii ni sehemu ya maandalizi ya Onyesho hilo la Urembo ambalo linataraji kufanyika hivi karibuni.
Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha wakiwa katika picha ya pamoja.

JIUNGE SASA Michuzi TV SASA IPO HEWANI - You'll love it!

NDUGU MDAU MICHUZI TV SASA IPO HEWANI.  JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!
KWA KUANZIA WADAU WA VODACOM WANAKARIBISHWA KUPIGA
 *149*01#  KISHA CHAGUA NAMBA 4 SIMU.tv (MPYA) 
HALAFU NENDA  NAMBA 1. Habari (BURE), 
BAADA YA HAPO 
CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE) 
UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA. 
LIBENEKE OYE!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages