Breaking News

Your Ad Spot

Sep 21, 2014

KINANA, NAPE WATINGA BAGAMOYO, WAKUTANA NA DK. SHUKURU KAWAMBWA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimianana Mbunge wa Bagamoyo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, wakati wa mapokezi yaliyofanyika eneo la Yombo jimboni humo wakati Kinana akitoka wilaya ya Kibaha leo, Septemba 21, 2014, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika mkoa wa Pwani.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye akimsalimia Dk. Shukuru Kawambwa  wakati wa mapokezi ya msafara huo wa Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga lipu kushiriki ujenzi wa wodi ya wazazi katika zahanati ya Kata ya Yombo, wilayani Bagamoyo mkoa wa P)wani, leo, Septemba 21,2014. Ujenzi wa zahanati hiyo umepangwa kugharimu sh. milioni 87.
Kinana akizunguza na wananchi nje ya jengo hilo la wodi ya Kinamama
Kinamama wakiselebuka kuchsakata muziki uliokuwa ukitumbuizwa na kikundi cha sanaa cha Bagamoyo, kumlaki Kinana alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Bagamoyo leo
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizindua Jengo la Ofisi ya Ofisa Mtendaji Kata ya Dunda wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani
Kinana na Nape wakiwa na Dk. Shukuru Kawambwa, wakienda kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages