Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2014

KINANA AANZA ZIARA IRINGA VIJIJINI LEO

 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ukitoka Dodoma kwenda Iringa leo kuanza ziara ya siku sita mkoani Iringa baada ya kumaliza ziara ya siku 11 mkoani Tanga na Pwani siku 9.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi alipowasili mjini Iringa na kufungua Ofisi ya CCM Iringa Vijijini, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu.


























No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages