Breaking News

Your Ad Spot

Oct 31, 2014

MTANGAZAJI NA MWANDISHI MAHIRI WA SIKU NYINGI NCHINI BEN KIKO AFARIKI DUNIA

 Mwandishi Wa siku nyingi Ben Kiko amefariki Dunia usiku Wa kuamia Leo Muhimbili Habari zilizotangazwa na Redi Free Africa (RFA) zimesema.
 Ben Kiko atakumbukwa kwa mchango wake katika uandishi wa habari na utangazaji, atakumbukwa pia kwa kazi nzuri alizowahi kufanya ikiwa ni pamoja na  kuripoti vita ya Kagera dhidi ya Nduli Iddi Amini wa Uganda,
  

 
  Rais Jakaya Kikwete akimkabishi Ben Kiko Cheti cha kuwa mteule katika tuzo ya umahiri wa maisha ya taaluma ya uandishi wa habari katika moja ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) zilizotolewa miaka ya hivi karibuni ni Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na Adam Mzee)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages