Breaking News

Your Ad Spot

Apr 16, 2015

WAZIRI NYALANDU ASHUGHULIKIA MIPAKA YA HIFADHI YA SAADAN

 Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma (katikati) walipotembelea kutatua mgogoro uliohusu wananchi na hifadhi hiyo.
 Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakikagua mto Wami ambao awali ulikuwa mpaka wa Hiadhi ya Saadana na kupanuliwa kitu kilichosababisha kuwapo kwa mgogoro wa muda mrefu wa mipaka. Wazir Nyalandu aliamuru mgogoro huo kumalizwa mara moja kwa kuzingatia mipaka ya zamani.

 Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakikagua mto Wami ambao awali ulikuwa mpaka wa Hiadhi ya Saadana na kupanuliwa kitu kilichosababisha kuwapo kwa mgogoro wa muda mrefu wa mipaka. Waziri Nyalandu aliamuru mgogoro huo kumalizwa mara moja kwa kuzingatia mipaka ya zamani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakiwa katika boti katika mto wami juzi walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa mpaka katika ya hifadhi hiyo na wananchi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages