Breaking News

Your Ad Spot

Jun 6, 2015

KINANA NA NAPE WAFUNIKA MKUTANO WA HADHARA BUKOBA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara leo, kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba leo, akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana mkoani Kagera.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Constazia Bihiye, akizungumza katika mkutano huo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Bukoba mjini, Hamis Kagasheki (kulia), baada ya mbunge huyo kuhutubia wananci atika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera leo.
 Mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagasheki (kushoto) akihutubia wananchi atika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera.
 Mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagasheki (kushoto) akihutubia wananchi atika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wenzake wakiwa mbele ya umati wa watu waliofurika kwenye mkutano huo
 Wananchi wa Bukoba mjini wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipowahutubia kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba.
 Kada wa CCM Mkuu wa mkoa wa Kagera akizungumza kwenye mkutano huo
Vijana waendesha bodaboda wakipiga misele karibu na Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba kunogesha mkutano wa CCM. Picha zote na theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages