Breaking News

Your Ad Spot

Jun 5, 2015

MABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI KUPIGANA KESHO UWANJA WA TAIFA


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpaqmbano wao wa kesho jumamosi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipozi kigagwe na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya juni 6 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS (P.T)
 Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Said Mundi wa Tanga kushoto ni mratibu wa mpambano uho Antony Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Said Mundi wa Tanga akipima uzito kwa ajili ya mpambano weke na Vicent Mbilinyi kushoto ni Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages