Breaking News

Your Ad Spot

Jun 6, 2015

MTEMVU ATOA LAKI TANO KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA FAINALI ZA SOKA CHUO CH BANDARI

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Sh. Laki Tano Makamu wa pili wa Rais  Hamis Mbonde kati, kwa  maandalizi ya Fainali ya Chuo cha Bandari inayo shirikisha Madarasa yote ya Chuo hicho (kushoto) ni  Katibu Mkuu Serikali ya Chuo cha Bandari Samora Masanja  na wapili kulia ni Makamu wa TEFA Bakili Makele katika kiwanja cha chuo hicho   Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akifafanua jambo kwa viongozi wa Chuo cha Bandari, kuanza kilia ni Waziri wa Katiba na Sheria Chuo hicho  Mwichande Ngunga , Waziri Mkuu wa chuo hicho Mariam Mrisho  na Makamu wa pili wa Rais  Hamis Mbonde

 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikagua Timu
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikagua Timu katika kiwanja cha Chuo cha Bandari Dar es Salaam
 Makamu wa TEFA Bakili Makele akiwapungia mikono wanachuo hao na wanaNchi wakio jitokeza  alipo tambulishwa wakati wa mashindano hayo

  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu Serikali ya Chuo cha Bandari Samora  (kushoto)  na aliye vaa tisheti nyeusi ni Makamu wa pili wa Rais  Hamis Mbonde na anaye fatia wapili kulia  ni Makamu wa TEFA Bakili Makele



  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wachezaji wa timu ya wanawake wa  Chuo cha Bandari
 Wanafunzi wa Chuo cha Bandari wakifatilia mtanange huo
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (wapili kushoto) katika picha ya pamoja   viongozi wa Chuo cha Bandari akiwemo Muasisi na Katibu wakwanza wa  Chama cha Mapinduzi Tawi  la Chuo cha Bandari Iddi Majuto (wa pilikushoto)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages