Breaking News

Your Ad Spot

Oct 8, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MCHUMGAJI MTIKILA DAR ES SALAA

 Rais  Jakaya Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika  viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog
 Rais  Jakaya Kikwete akimfariji  Mjane wa marehemu Mchungaji Mtikila, Georgia Mtikila

 Waombolezaji wakiwa wameubeba mwili wa aliyekuwa Mchungaji Christopher Mtikila, katika viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam kabla ya kuuaga mwili wa mchungaji huyo.
  Waombolezaji wakiwauweka mwili wa aliyekuwa Mchungaji Christopher Mtikila sehemu maalumu kwa maandalizi ya kuuaga mwili wa mchungaji huyo

   Msajili wa Vyama vya Siasa mstaafu  , Jaji John Tendwa  akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika  viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa  Mchungaji Christopher Mtikila
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika  viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa  Mchungaji Christopher Mtikila
 Makamu wa Rais Gharib bilal akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika  viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa  Mchungaji Christopher Mtikila

 Makamu wa Rais Gharib bilal akimfariji Katibu Mkuu wa Alliance for Democratic Change Lydia Bendera katika viwanja vya
  Karimjee Holl Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa  Mchungaji Christopher Mtikila





 Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akizungumza kwa niabaya ya Serikali














No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages