Breaking News

Your Ad Spot

Nov 17, 2015

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SAIDI MECK SADIKI MGENI RASMI SIKU YA WATOTO NJITI JIJINI DAR ES SALAAM


Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Mgeni Rasmi Siku ya Watoto Njiti, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)





Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Agnes Mtawa (wa nne kulia)   mashine ya kutowa hewa ya Oxygen kwa watoto waliozaliwa kabla ya wakati Oxygen Concentrator) kwaniaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru, kuanzia kulia ni mwakilishi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Grace Mallya, Kaimu Mkuu wa Idaraya Watoto na Dk, Bingwa wa Watoto, Martha Mkony na anayefatia ni Doris Mollel ambaye ni  Mwakilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation
Baadhi ya wafanyakazi
Baadhi ya wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili



Afisa Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) akizungumza jambo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Watoto njiti Dar es Salaam
Mkazi wa Mbagala  Kizuiani Jijini Dar es Salaam, Jesca Yusuph akiwashukuru madaktari na wauguzi pamoja na Mwanzilishi wa Taasisi ya (DMF)

Mkuu wa Mkoa Saidi Meck Sadik na Mtoto Amney Salimu (3) akiwa amebebwa na mama yake mzazi Eshe Ahmed, wakikata Keki  wakati wa siku ya Watoto Njiti,  Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,  Agnes Mtawa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Saidi Meck Sadik akilishwa Keki na  Mtoto Amney Salimu (3) akiwa amebebwa na mama yake mzazi Eshe Ahmed, wakati wa siku ya Watoto Njiti Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation na watatu  kushoto ni Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,  Agnes Mtawa


Mti uliopandwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Saidi Meck Sadik
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Saidi Meck Sadik akimwagilia  maji  mti alioupanda wakati wa kilele cha Maadhimisho ya siku ya Watoto Njiti Duniani Jijini  Dar es Salaam na kutembelea Wod za watoto waliozaliwa njiti katika jengo la watoto







No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages