Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Kikwete
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye
uwanja wa Ndege wa muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa
kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk.
Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam
Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Kikwete
akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM mkoa wa Dodoma waliojitokeza
kumpokea, Mwenye kiti wa CCM ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachojadili majina ya wana-CCM walioomba
ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269