Breaking News

Your Ad Spot

Nov 21, 2015

PICHA BAADA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUZINDUA BUNGE MJINI DODOMA

1
Rais  Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
2
Rais  Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Pius Msekwa huku Spika Mstaafu mwingine, Anne Makinda akisubiri zamu yake muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
4
Rais  Magufuli akisalimiana na mmoja wa wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
6
Rais  Magufuli (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt Kikwete na Benjamin Mkapa  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
7
Rais Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wakuu na wabunge muda  mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
8
Rais  Dkt.  Magufuli akisikiliza kwa unyenyekevu mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
9
Rais Dkt. Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe  Pandu Ameir Kificho  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
10
Rais  Dkt. Magufuli na Waziri Mkuu  Majaliwa Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge  baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
11
Rais Dkt.  Magufuli na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Kikwete na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo,  Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuhutubia wakisalimiana na kuteta jamb
14
Rais  Dkt. Magufuli akiongea na  wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. Ni hapo alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200 zilizochangwa na wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa kununulia vitanda vya wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
17
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Spika Job Ndugai  wakati anaondoka baada ya kuhutubia Bunge la 11
18
Rais Dkt.  Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PSPF  Bw.Adam Mayingu kwa mchango wao  kwenye mchapalo  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua Bunge la 11 mjini Dodoma
19
Rais  Dkt.  Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao  kwenye mchapalo  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
21
 Rai Dkt.  Magufuli akipozi na badhi ya mabalozi wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma 
Picha na Muhidin Issa Michuzi wa Ikulu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages