Breaking News

Your Ad Spot

Nov 9, 2015

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AVAMIA , HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

jo1
Rais Dk. John Pombe Magufuli ameivamia  leo Hospitali ya taifa ya Muhimbili na kutembelea wagonjwa mbalimbali pamoja na kuzungumza nao, ili kujua matatizo wanayokabiliana nayo katika kupata huduma, Dk. Magufuli pia amemjulia hali Mkurugenzi wa Kituo cha  Sheria na  haki za binadamu LHRC Mama Hellen Kijo Bisimba ambaye amelazwa hospitalini hapo kutokana na majereaha aliyoyapata wakati alipopata ajali na gari lake maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam na kulazwa hospitalini hapo.
jo2
Rais Dk. John Pombe Magufuli Mkurugenzi wa Kituo Sheria na  haki za binadamu LHRC Mama Hellen Kijo Bisimba ambaye amelazwa hospitalini hapo kutokana na majereaha aliyoyapata wakati alipopata ajali na gari lake maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam na kulazwa hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages