RAIS Dk. John Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim, baada ya kumwapisha, Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.
Rais Dk. John Magufuli akiwa na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, baada ya kumwapisha jana, Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma. kulia ni Mama Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe baada ya kuapishwa kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya
waalikwa waliohudhuria sherehe za
kuapishwa kwake kwenye Ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dodoma.
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Mchoyi cha mjini Dodoma wakicheza ngoma ya Kigogo katika sherehe za kumwapisha Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akiopongezwa na Mkewe Mary baada ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Sheikh Mtopa baada ya kuapishwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dar es Salaam
Waziri Majaliwa Kassim Majaliwa, akisalimiana na watumishi wa Ofisi yake baada ya kuwasili kwenye Makazi yake mjini Dodoma
Baadhi ya waalikwa wakiwa kwenye sherehe hiyo ya kuapishwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
Makamu wa Rais , Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd.
Makamu wa Rais Mama Samaia Suluhu Hassa, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe ya kuapishwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269