Aliyekuwa
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla
ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania mbele ya Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib

Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

mbunge wa jimbo la Karagwe Gosbert Blandes akikabidhiwa fomu za kuwania
nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
George
Nangale akipitia fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kukabidhiwa na Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.

Banda Sonoko akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib akimkabidhi fomu Ndugu Simon G. Rubugu

Hawa
ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi
Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa
mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa
Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269