Breaking News

Your Ad Spot

Nov 15, 2015

VIDEO YA MAGOLI YA TAIFA STARS Vs ALGERIA NOVEMBA 14,2015 ! FULL TIMU 2-2


Kama ulipitwa mtu wangu wa nguvu na hukupata nafasi ya kutazama mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 Urusi kati ya Taifa Stars dhidi ya Algeria mchezo ambao ulichezwa katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na kumalizika kwa sare ya goli 2-2. Naomba nikusogezee video ya magoli yote manne. Magoli ya Taifa Stars yalifungwa na Elias Maguli dakika ya 43 kipindi cha kwanza na Mbwana Samatta dakika ya 54 ya mchezo wakati magoli ya Algeria yalifungwa na Slimani Islam dakika ya 71 na 73.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages