Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb)
akiukaribisha ujumbe wa wabunge wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la
Sweden walipomtembelea leo Februari 19, 2016, ofisini kwake jijini Dar es
Salaam.Wabunge hao wapo nchini kwa madhumuni ya kutathmini na kukagua miradi
inayofadhiliwa na Serikali ya Sweden kwa Tanzania ili kubaini utaratibu bora
zaidi wa kusaidia Tanzania katika kipindi kijacho.
Naibu Waziri (kulia) akizungumza na kiongozi wa ujumbe huo, Mhe.
Kenneth G. Forslundambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya
Sweden
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269