Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2016

MAOFISA UGANI WADAIWA KUCHANGIA CHANGAMOTO YA KILIMO WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA

 Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Emmarold Mneney (kushoto), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama  kilichopo Kata ya Ng'haya baada ya kupokea changamoto zao katika mkutano uliofanyika kijijini hapo juzi.
 Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Nicholaus Nyange (kulia), akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Salama  kilichopo Kata ya Ng'haya kuhusu matumizi ya Bioteknolojia.
 Mratibu Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Afrika, Daniel Utunge kutoka nchini Kenya  (kulia), akiwa katika mafunzo hayo ya matumizi ya Bioteknolojia katika kilimo yaliyofanyika kijiji cha Salama wilayani Magu. Kushoto ni Mwanahabari wa gazeti la majira jijini Mwanza.
 Mtafiti Mkuu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Dk. Emmarold Mneney (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Bugatu wilayani Magu mkoani Mwanza baada ya kupokea changamoto zao za kilimo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages