Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2016


SHULE ya sekondari Kaizirege iliyoko mkoani Kagera, imeibuka tena kidedea baada ya kuongoza kitaifa kwa kutoa wanafunzi wengi waliofaulu kwa alama za juu kwenye mtihani wa taifa wa Kidato cha Nne 2015.
Matokeo hayo yalitengazwa Februari 18, 2016 na Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles Msonde na kusema utaratibu wa kupanga matokeo umetumika ule wa Divisheni badala ya ule wa GPA.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages