Breaking News

Your Ad Spot

Feb 24, 2016

MWENYEKITI WA BRAVO MTEMVU APATA UGENI DAR ES SALAAM JANA TOKA SAUDI ARABIA

 Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam na  Mwenyekiti  wa Kampuni ya BRAVO JOB CENTRE AGENCY LTD Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa na mazungumzo na mgeni wake ofisini kwake Dar es Salaam jana kutoka Saudi Arabia, Abdulrahman Almohaimid, toka Kampuni ya  Jal Human Resources Company (JHR)  ambapo kampuni hiyo inajihusisha na ajira na shughuli nyingine ambapo imeingia ubia na Bravo katika mpango wa ajira na uwekezaji wa nyanja mbalimbali. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Balozi Abdallah Kilima (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoba na Abdulrahman Almohaimid (wakwanza kushoto) kutoka Kampuni ya  Jal Human Resources Company (JHR) ya Saudi Arabia,  Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam na  Mwenyekiti  wa Kampuni ya BRAVO JOB CENTRE AGENCY LTD Abbas Mtemvu na Mkurugenzi wa Bravo wa kwanza  kulia

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages