Breaking News

Your Ad Spot

Feb 24, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA EAC, DKT. RICHARD SENZIBERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015 baada ya kufanya mazungumzo naye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam . (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages