Breaking News

Your Ad Spot

Feb 27, 2016

SHAMBULIO LA AL-SHABAB LAWAUWA WATU 9

Polisi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu wanasema kuwa wanamgambo wa al-Shabab wamewaua takriban watu 9 wakati wa shambulizi kwenye hoteli moja iliyo karibu na ikulu ya rais.
Ripoti zinasema kwa mshambuliaji wa kujitolea muhanga aliendesha gari katika lango la hoteli hiyo kabla ya watu waliokuwa na silaha kuingia ambapo ufyatulianaji wa risasi ulianza na walinzi wa hoteli.
Kundi la wanamgambo la Al Shabaab linesema kuwa liliendesha shambulizi hilo
Al Shabab walikuwa wikidhibiti sehemu nyingi za mji wa Mogadishu kabla ya kuondoka lakini wanaendesha mashambulizi ya mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages