Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2016

WEKEZENI KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili katika Uwanja wa Ndani wa Michezo kabla ya kikao baina yake na wadau na viongozi wa vyama vya michezo  jana jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akielekeza jambo kuhusu mradi wa kuendeleza Uwanja wa Ndani wa michezo jana jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick.
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili katika Uwanjwa wa Ndani wa Michezo kabla ya kikao baina yake na wadau na viongozi wa vyama vya michezo jana jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages