Breaking News

Your Ad Spot

Apr 21, 2016

BREAKING NEWS; MAJAMBAZI YAVAMIA KARIAKOO, WANANCHI WAYAZIDI NGUVU NA "KUYASHUGHULIKIA" POLISI YAWAOKOA


WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamenusurika kifo baada ya wananchi wenye hasira, kuyaweka “mtu kati” neo la Kariakoo jijini Dar es Salaam mida hii.
Msomaji wa K-VIS Blog amerusha picha zinazoonyesha majambazi mawili yakiwa hoi bin taaban kwenye eneo la tukio baada ya polisi wenye silaha kuwahi kwenye eneo hilo na kuyaokoa yakiwa tayari yanavuja damu.
Kama ilivyo kawaida, mamia kwa maelefu ya watu wanaotafuta mahitaji eneo hilo la Kariakoo waliyazingira majambazi hayo baada ya jaribio lao la kupora fedha kushindwa.
Taarifa kamili itawajia kadrizitakavyotufikia


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages