Breaking News

Your Ad Spot

Apr 25, 2016

CLOUDS MEDEA GROUP IKIONGOZWA NA MD JOE KUSAGA YATEMBELEA NYUMBANI KWA BALOZI MANONGI, NEW YORK

Mwakilishi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mhe. Balozi Tovako Manongi akimkaribisha Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga nyumbani kwake siku ya Jumamosi April 23, 2016 siku mkurugenzi huyo alipotembelea nyumbani kwa Balozi jijini New York akiongozana na baadhi ya wafanayakzi wake ambao walikuja nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la Radio lililofanyika Las Vegas, nchini Marekani. Picha na Vijimambo New York.
Mhe. Balozi Tovako Manongi akiwatambulisha maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa kwa Mkurugenzi wa Clouds Medea Group, Bwn, Joseph Kusaga (hayupo picha) siku ya Jumamosi April 23, 2016 siku mkurugenzi huyo alipotembelea nyumbani kwa Balozi jijini New York akiongozana na baadhi ya waanayakzi wake ambao walikuja nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la Radio lililofanyika Las Vegas, nchini Marekani.
Mkurugenzi wa Clouds Medea Group Bwn. Joseph Kusaga akitambulisha timu yake kwa Mhe. Balozi Tuvako Manongi.
Mhe. Balozi mwakilishi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York akibadilishana mawili matatu na mkurugenzi wa Clouds Medea Group, Bwn. Joseph Kusaga.
Mkurugenzi wa Clouds Medea Group, Bwn. Joseph Kusaga akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Tuvako Manoni na mkewe.
Timu nzima ya Clouds Medea Group wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Tuvako Manongi na mkewe, kutoka kushoto ni Saleh Mohammed, Daudu Lembuya, Dj Venture, Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Mgurugenzi Joseph Kusaga, mama Manongi, Dj Peter Moe na Jackson Joseph. Picha zaidi tafadhali>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages