Breaking News

Your Ad Spot

Apr 11, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN HAPA NCHINI. AKABIDHIWA CHETI NA WATU WENYE ULEMAVU

MAKA1
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania. Mehd Aghajafari wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 11, 2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia suala la kukuza Ushirikiano kati ya Nchi mbili hizi.
MAKA4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan, akipokea Cheti maalum kutoka kwa Muwakilishi wa Jumuiya ya Watu wenye ulemavu Nchini Bibi Stela Jailos kwa ajili ya kutambua mchango mkubwa wa Serikali ya awamu ya 5 kwa Watu wenye Ulemavu. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages