Breaking News

Your Ad Spot

Jul 8, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI WA MIFUPA WA WATOTODUNIANI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akitia saini katika kitabu cha wageni Moi mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Madaktari Bingwa wa Mifupa wa Wtoto Duniani, Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupiti Ubalozi wake nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Afyana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) uliohudhuriwa na Wataalamu kutokanchi mbalimbaliza Afrikana Uturuki
Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp (kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni Taasisi ya Mifupa hiyo kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma


 .Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya (katikati) akizungumzakatika ufunguzi wa Mkutano wa Madaktari wa Mifupa wa Watoto Duniani ambapo Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupitia balozi wake Nchini Tanzania kwakushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, kulia ni Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma
.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumza jambo katika Mkutano huo uliofantika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)

Baadhi ya Madaktari wakibadilishana mawazo huku wakipata chai
Baadhi ya madaktari wakijadiliana jambo
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa na Viungo, Mkuu wa Kitengo  na Mwenyekiti wa Mkutano huo Dk. Mcharo Bryson akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) mara baada ya kutoka katika mkutano huo wakati wa chai
Madaktari wakisikiliza kwa umakini wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki alipoufungua Mkutano huo 




Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi hiyo, Dk. Samuel Swai 

Profesa Inan Muharrem (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kiloloma picha ya iliyochorwa 






Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya katika picha ya pamojana Madaktari Bingwa

Katibu Mkuu akiongea na waandishi
Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na waandishi
Balozi wa Uturuki nchini akizungumza na waandishi



(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA), Mmiliki wa ujijirahaa blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages