Breaking News

Your Ad Spot

Jul 10, 2016

ZAWADI GANI NZURI ILINGANE NA UPENDO WA MAMA?


Asante mama kwa kuniweka tumboni mwako miezi tisa 
nikanyonya maziwa yako miaka miwili, sina cha kukulipa kwa malezi uliyonilea na kunifundisha kazi mbalimbali zikiwemo za nyumbani na kua na heshima kwa jamii na kutokua na tabia mbaya ikiwemo ya ya udokozi na sasa nafurahia matunda ya riziki halali niipatayo ambayo mungu anaendelea kunijaalia , zaidi. Nakukuombea maisha marefu mungu awe nasi, mama 
yangu Mariam Khamisi nakutakia maisha yenye baraka tele. (picha na Mmiliki wa ujijirahaa blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages