.

MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MUNGAI

Nov 10, 2016

 Rais Magufuli akitowa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kulia) akisalimiana na ndugu na jamaa wakati wa shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam, katikati ni Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu
Waombolezaji wakiuingiza ndani mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, Josefu Mungai ndani tayari kwa maandalizi ya kutowa heshima za mwisho
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kulia) akisaidiana na waombolezaji kuuweka sehemu maalumu mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, Josefu Mungai 
Sehemu ya familia


Mama Salma Kikwete akimfariji marehemu Mery Mungai ambaye ni mjane wa marehemu Joseph Mungai
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisalimiana na viongozi mbalimbali


PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª