.

MH.LAZARO NYALANDU MGENI RASMI MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA

Nov 6, 2016

Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akitunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau Gasto Leseiyo ambaye ni Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akifurahia baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau Goodluck Kimaro ambaye ni Afisa Rasilimali Watu wa TBL Arusha Plant akifurahia baada ya kutukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Mount Meru,Profesa Harrison Olang(kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua mgeni rasmi katika mahafali ya 12.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kulia)akifurahia jambo na familia ya  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Mount Meru,Profesa Harrison Olang
Picha ya pamoja na wahitimu
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kushoto)akizungumza na Pastor Earl  Pirkle(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Mount Meru  Profesa Elijah Wanje. (P.T)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช