.

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AFUNGA MAFUNZO YA MGAMBO KUNDI LA 54/16

Nov 19, 2016


Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za Ulinzi

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia)  akipokea risala kutoka kwa mmoja wa wahitimu , Asma Rajabu (kushoto) wakwanza kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani  JKT Meja, Dorah Kawawa
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani  JKT Meja, Dorah Kawawa akifatilia jambo kwa umakini
Luteni, Nelson Ponera akiangalia vijana wake wanavyo jituma mbele ya mgeni rasmi
 
  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa katikati) akizungumza jambo wakati akifunga mafunzo ya Mgambo kundi  la 54/16  yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam, ambapo  482  wamehitimu   Mafunzo hayo, kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani  JKT Meja, Dorah Kawawa  na Luteni, Nelson Ponera

Mmoja wa wahitimuwa wa mafunzo  hayo akionyesha umahiri wake kwa kucheza karate
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee wakifuatilia kwa makini
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka

Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya mgambo
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Mgambo yalio fanyika Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akikagua gwaride la Mgambo  wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam,  wa kwanza kulia ni Kasim Kiambwe na Luteni, Nelson Ponera
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kushoto) akisalimiana na Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani  JKT Meja Dorah Kawawa wakati wa kufunga mafunzo ya Mgambo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª