.

WABUNGE WA TANZANIA WASAINI MAAZIMIO YA TB CAUCUS

Nov 9, 2016

mmy1
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akisaini Maazimio ya Wabunge wa Tanzania yenye dhamira ya kutokomeza ugonjwa wa kifua kikuu” TB Caucus “,mtandao huo ulianzishwa jijini Barcelona,Hispania Oktoba 2014 na kuitwa Mtandao wa Wabunge duniani “The Global TB Caucus
mmy2
Mjumbe wa Mtandao wa wabunge duniani,Mhe. Faustine Ndugulile akisaini maazimio hayo
mmy3
Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii, Mhe. Peter Serukamba akisaini maazimio hayo ya wabunge wa Tanzania.nchini Tanzania takribani wagonjwa 160,000 huugua kifua kikuu  kila mwaka.
mmy4
.Picha ya pamoja ya maofisa toka wizara ya afya na wadau wa Tb wakiwa na Waziri wa Afya na mjumbe wa mtandao wa wabunge duniani
mmy5
Naibu Mratibu wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua kikuu na ukoma Dkt. Liberate Mleoh akijibu maswali yaliyoulizwa na waheshimiwa wabunge wakati wa semina ya wabunge kuhusu kifua kikuu iliyofanyika kwenye ukumbi wa wabunge jijini Dodoma.
mmy6
Afisa mpango  toka mpango wa taifa wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma dkt. Deus Kamala akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wabunge.(Picha zote na Catherine Sungura-Dodoma)(P.T)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช