.

WAZIRI NAPE AAHIDI MAGEUZI KATIKA MASHINDANO YA UMISS

Nov 14, 2016

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam (hawapo pichani)wakati wa hafla ya kumkabidhi Bendera ya Taifa Bi. Julietha Kabete (kushoto) Mrembo atakayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika 2016 nchini Nigeria.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(kulia) akimkabidhi Bendera ya Taifa Bi. Julietha Kabete, Mrembo atakayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika 2016 nchini Nigeria.
Badhi ya  Waaandishi wa habari waliokuwepo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª