.

MAHAFALI YA 28 YA SEKONDARI YA AL- HARAMAIN NA YA KWANZA KWA KWA CHUO CHA UALIMU KWA WALIMU WA NGAZI YA CHETI WA SHULE ZA MSINGI

Dec 20, 2016

Vijana wa Madrasat Muhajrina wakitumbuiza kwa kaswida, wakati wakiwaongoza wahitimu kuelekea kwenye viwanja vya mahafali.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 28 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain na ya Kwanza ya ngazi ya Cheti kwa Walimu wa Shule za Msingi ya Chuo cha Al Haramain, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Issa Othman (katikati), akiongozwa na Mkuu wa Chuo, Suleiman Urassa (kushoto) na Mkuu wa Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir (kulia), wakati wa mahafali hayo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. PICHA ZAIDI/BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª