.

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID

Dec 13, 2016

maulidi
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika  kitaifa, Shelui, Singida Desemba  12, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mau
 Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza  hilo katika kijiji cha  Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
rehema
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili Shelui kuwa mgeni rasmi katika Baraza  la Maulid, Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sheik
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj  Abukary Zubeiry Bin Ally baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ndani
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri  wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba baada ya kuwasili  Shelui  mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016.   Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, January Makamba.  Muungano na Mazingira, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ncheww
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akizungumza katika Baraza la  Maulid lililofanyika  Shelui mkoani Singida ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majalaiwa , Desemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
okkk
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj   Abubakary Zubeiry  bin Ally akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika  kitaifa Shelui mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majliwa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)(P.T)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช