.

MAJONZI: MTOTO WA MIAKA MITANO ALIYEBAKIZA MIEZI MIWILI YA KUISHI DUNIANI

Dec 18, 2016

Mtoto huyu anaitwa, Bradley Lowery, ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Sunderland. Ana miaka mitano na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi. Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley.

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi, kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.

#Everybody dies but not everyone has lived..So sad

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª