.

AMINA MOHAMED ALIVYOMEREMETA KATIKA USIKU WAKE WA KITCHEN MADA, SINZA, JANA

Dec 23, 2016

 Bi harusi mtarajiwa, Amina Mohamed akiwa katika pozi
 Bi harusi mtarajiwa, Amina Mohammed akimwaga tabasamu la furaha wakati wa shughuli yake ya kuagwa (kitchen mada) iliyofanyika Sinza Mapambano, Dar es Salaam jana, tayari kwa leo Ijumaa, Desemba 23, 2016 akijaaliwa atafunga ndoa na mwandani wake. Inshaallah tumtakie kila la Kheri.
 Ni hivi  punde Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed (wa tano kulia) atafunga Ndoa yake na mpendwa wake  Ashrafu Issa, hapa akiwa katika picha ya pamoja  wanafamilia
  Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed akiingizwa katika ukumbini wakati wa shughuli yake ya kuagwa (kitchen mada) eneo la Sinza Mapambano Dar es Salaam
   Bi harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed akitunzwa na mmoja wa mwanafamilia
 Kikundi cha kinamama wakitumbuiza  kwa dufu wakati wa hafla ya kumuaga Bi Harusi mtarajiwa, Amina Mohamed iliyofanyika nyumbani kwao Sinza Mapambano, Dar es Salaam
 Mmoja wa mwanafamilia akimtuza zuria la kufutia miguu
  Bi Harusi mtarajiwa,  Amina Mohamed katika pozi na  Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhumbili ambaye ni wifi yake mtarajiwa, Subira Mheta.
  Amina Mohamed (kushoto) akiondoka ukumbini tayari kwa kujiandaa na hafla ya Harusi yake itakayo fanyika leo baada ya Swala ya Ijumaa nyumbani kwao Sinza Mapambano Dar es Salaam
Wana kikundi cha Upendo Group wakimtunza  Amina Mohamed (wanne kushoto) ambapo ni wanakikundi wenzake na Wifi yake, Subira Mheta ambaye ni Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA wa Kampuni ya K M Express Photo Studio na Mmiliki wa ujijirahaa blog

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª