Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2016

TANZANIA YETU, MALIASILI ZETU, MSIMU WA SIKUKUU NDO HUU

Tanzania yetu maliasili zetu Hakuna jambo zuri kama kusherekea Sikukuu ukiwa kwenye mandhari  tulivu ambayo itakufanya ussosike na chakula kizuri  huku ukifanya vitu vipya au kuona vitu tofauti ambavyo huvioni mara kwa mara katika mzunguko wako wa maisha.

Msimu wa Sikukuu ndiyo huu!!! Fanya sikukuu yako kuwa ya kipekee kwa kutembelea HIFADHI ZA TAIFA. Tuendelee kusapoti Utalii wa Ndani kwa kutembelea #HifadhiZetu. More info piga 0784133217| 0765908073. HapaKaziTU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages