Breaking News

Your Ad Spot

Jan 14, 2017

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP-2017, KATIKA DIMBA LA AMAAN MJINI ZANZIBAR, JANA

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, jana usiku.
Mshambuliaji wa Azam Joseph Mahundi akiumiliki mpira, dhidi ya mchezaji wa Simba Besela Bakungu timu hizo zilipomenyana jana usiku katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017,  kwenye Uwanja wa Aamaan mjini Zanzibar. Azam ilibuka kidedea baada ya kuifunga Simba 1-0. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages