.

HOTUBA YA MWISHO YA MICHELLE OBAMAKATIKA IKULU YA WHITE HOUSE

Jan 10, 2017

Picha ya Fred Matuja
Katika siku za mwisho wa utawala wa Barack Obama, “First Lady” Michelle Obama ametoa hutuba yake ya mwisho rasmi kama mke wa Rais wa 44 Marekani.

Michelle ametoa hotuba ya kuashiria mwisho wa miaka 8 ya utumishi huku akibubujikwa na machozi. Hutuba hiyo ilifuatiwa na sherehe ya kuagana na mashabiki wake.

“Msiogope” Michelle Obama ameliambia kundi la walimu wa shule siku ya jumamosi, akijiandaa kuondoka katika ikulu ya White House kabla ya...Inaendele/>BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª