Mkurugenzi
wa Internews Bw.Wence Stanslaus akiongea na waandishi wa habari pamoja
na wadau mbalimbali katika mjadala wa sheria ya Mtandao na Takwimu
Mmoja wa
wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati
ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini
Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews
Tanzania.
Sehemu ya
washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya
Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa
na taasisi ya Internews Tanzania.

Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni
Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga )
akiwa katika mjadala huo.
Mmoja wa
wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja
kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini
Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews
Tanzania, Wenceslaus Mushi.
Mwanasheria
na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa
mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa
ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya
Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya
Takwimu leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269